Skip to content

Commit 9203081

Browse files
authored
Update README.sw.md (#230)
2 parents d8a3926 + 20375a2 commit 9203081

1 file changed

Lines changed: 28 additions & 28 deletions

File tree

README.sw.md

Lines changed: 28 additions & 28 deletions
Original file line numberDiff line numberDiff line change
@@ -57,7 +57,7 @@
5757

5858
# Jinsi ya Kupata Mafanikio ya GitHub
5959

60-
## Utafunzwa moja kwa moja jinsi ya kupata mafanikio ya GitHub katika kozi hii.
60+
## Utafunzwa moja kwa moja jinsi ya kupata mafanikio ya GitHub kwenye kozi hii.
6161

6262
### Vidokezo:
6363

@@ -71,11 +71,11 @@
7171

7272
# Mafanikio na Onyesho 🏅
7373

74-
#### Mafanikio ni pini ambazo GitHub inatoa kwa akaunti yako ya GitHub kama zawadi kwa shughuli fulani na zinaweza kuonekana kwenye wasifu wako. Mafanikio haya yanatoa athari nzuri kwa akaunti yako ya GitHub na yanaweza kuonyesha kiasi cha shughuli yako na jinsi unavyofanya kazi.
74+
#### Mafanikio ni mabeji ambayo GitHub inatoa kwa akaunti yako ya GitHub kama zawadi kwa shughuli fulani na yanaweza kuonekana kwenye wasifu wako. Mafanikio haya yanatoa athari nzuri kwa akaunti yako ya GitHub na yanaweza kuonyesha kiasi cha shughuli yako na jinsi unavyofanya kazi.
7575

7676
#### Unaweza kuchagua kutolewa kwa mafanikio yako yanayo onyeshwa kwenye wasifu wako kwa kwenda kwenye [mipangilio ya wasifu](https://github.com/settings).
7777

78-
#### Hapa tunakuonyesha jinsi ya kupata pini ya Mafanikio ya GitHub hatua kwa hatua :)
78+
#### Hapa tunakuonyesha jinsi ya kupata mabeji ya mafanikio ya GitHub hatua kwa hatua :)
7979

8080

8181

@@ -90,10 +90,10 @@
9090

9191

9292

93-
## Jinsi yakupata mafanikio ya Quickdraw
93+
## Jinsi ya kupata fanikio la Quickdraw
9494

95-
### Quickdraw ni mojawapo ya mafanikio rahisi kupokea. Inahitaji hatua chache tu. Ili kupata mafanikio haya lazima (ufunge suala / ombi la kuvuta ndani ya dakika 5 baada ya ufunguzi)
96-
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata mafanikio haya.
95+
### Quickdraw ni mojawapo ya mafanikio rahisi kupokea. Inahitaji hatua chache tu. Ili kupata fanikio hili lazima (ufunge suala / ombi la kuvuta ndani ya dakika 5 baada ya ufunguzi)
96+
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata fanikio hili.
9797

9898

</a-->

9999

@@ -107,11 +107,11 @@
107107

108108

109109

110-
## Jinsi yakupata mafanikio ya Yolo
110+
## Jinsi ya kupata fanikio la Yolo
111111

112-
### Yolo ni mojawapo ya mafanikio mazuri zaidi ya Github, ambayo yanaweza kutoa athari nzuri sana kwa wasifu wako wa Github. Ili kupata mafanikio haya, unahitaji Kuunganisha ombi la kuvuta bila ukaguzi.
112+
### Yolo ni mojawapo ya mafanikio mazuri zaidi ya Github, ambayo yanaweza kutoa athari nzuri sana kwa wasifu wako wa Github. Ili kupata fanikio hili, unahitaji kuunganisha ombi la kuvuta bila ukaguzi.
113113

114-
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata mafanikio haya.
114+
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata fanikio hili.
115115

116116

117117

@@ -125,11 +125,11 @@
125125

126126

127127

128-
## Jinsi yakupata mafanikio ya Pull Shark
128+
## Jinsi ya kupata fanikio la Pull Shark
129129

130-
### Kupata pull shark unahitaji kuwa na ombi 2 la kuvuta lililounganishwa, na utapata beji moja ya kuvuta papa.
130+
### Kupata pull shark unahitaji kuwa na maombi mawili ya kuvuta yaliyounganishwa, na utapata beji moja ya kuvuta papa (Pull Shark).
131131

132-
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata mafanikio haya.
132+
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata fanikio hili.
133133

134134

135135

@@ -143,11 +143,11 @@
143143

144144

145145

146-
## Jinsi yakupata mafanikio ya Starstruck
146+
## Jinsi yakupata fanikio la Starstruck
147147

148-
### Ni rahisi sana kupata mafanikio ya Starstruck, una hatua chache tu kupata Starstruck. Unaweza kupata Mafanikio haya wakati repo ya akaunti yako inapofikia nyota 16, hata kama ilihamishwa, utapokea beji.
148+
### Ni rahisi sana kupata fanikio la Starstruck, una hatua chache tu kupata Starstruck. Unaweza kupata fanikio hili wakati hifadhi ya akaunti yako inapofikia nyota 16, hata kama ilihamishwa, utapokea beji.
149149

150-
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata mafanikio haya.
150+
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata fanikio hili.
151151

152152

153153

@@ -161,11 +161,11 @@
161161

162162

163163

164-
## Jinsi yakupata mafanikio ya Pair Extraordinaire
164+
## Jinsi yakupata fanikio la Pair Extraordinaire
165165

166-
### Unaweza kupata beji ya pair extraordinaire iwapo umekuwa co-authored kwenye ombi lakuvuta lililo unganishwa.
166+
### Unaweza kupata beji la pair extraordinaire iwapo umesaidia katika uandishi kwenye ombi lakuvuta lililo unganishwa.
167167

168-
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata mafanikio haya.
168+
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata fanikio hili.
169169

170170

171171

@@ -179,11 +179,11 @@
179179

180180

181181

182-
## Jinsi yakupata mafanikio ya Mdhamini wa Umma
182+
## Jinsi yakupata fanikio la Mdhamini wa Umma
183183

184184
### Unahitaji tu kutoa mchango kwa mchangiaji wa chanzo huria.
185185

186-
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata mafanikio haya.
186+
#### - Ikiwa unahitaji usaidizi zaidi, bofya kitufe cha `Jinsi ya Kupata` ili kupata mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kupata fanikio hili.
187187

188188

189189

@@ -220,7 +220,7 @@
220220

221221

222222

223-
# Beji ambazo havipatikani tena ❌
223+
# Mabeji ambayo hayapatikani tena ❌
224224

225225

226226

@@ -233,7 +233,7 @@
233233

234234
## Mars 2020 Contributor
235235

236-
### Changia kwenye code unao tumika kwenye repo ya Mars 2020 Helicopter Mission
236+
### Changia kwenye msimbo unaotumika kwenye hifadhi ya 'Mars 2020 Helicopter Mission'
237237

238238

239239

@@ -246,7 +246,7 @@
246246

247247
## Arctic Code Vault Contributor
248248

249-
### CChangia kwenye code unao tumika kwenye repo ya 2020 GitHub Archive Program
249+
### Changia kwenye msimbo unaotumika kwenye hifadhi ya '2020 GitHub Archive Program'
250250

251251

252252

@@ -261,7 +261,7 @@
261261

262262
## Galaxy Brain 2022
263263

264-
### Jubu mjadala(Iwapo una majibu mbili yalio kubaliwa), Kutoka 2020 mpaka 2024
264+
### Jibu mjadala(Iwapo una majibu mawili yaliyokubaliwa), Kutoka 2020 mpaka 2024
265265

266266

267267

@@ -271,7 +271,7 @@
271271

272272
#### Mwonekano wa mafanikio mengine hutegemea mapendeleo yako ya rangi ya ngozi za emoji
273273

274-
#### Waweza kubadilisha rangi yako ya Ngozi unayopendelea kwa kwenda kwa: [Mipangilio ya Muonekano](https://github.com/settings/appearance).
274+
#### Unaweza kubadilisha rangi yako ya ngozi unayopendelea kwa kwenda kwa: [Mipangilio ya Muonekano](https://github.com/settings/appearance).
275275

276276

277277

@@ -291,10 +291,10 @@
291291

292292

293293

294-
# Beji Zakuangazia
294+
# Mabeji ya kuangazia
295295

296296

297-
| Beji | Jina | jinsi ya kuifikia |
297+
| Beji | Jina | jinsi ya kuhitimu |
298298

299299
| ![pro-black](https://user-images.githubusercontent.com/65187002/173065669-d1fdb5a7-8895-43cc-8dea-72a511a37e86.svg#gh-light-mode-only) ![pro-white](https://user-images.githubusercontent.com/65187002/173065531-57dbf8b1-7eb7-4d46-81bf-f2d18c7c9112.svg#gh-dark-mode-only) | Pro | Tumia [GitHub Pro](https://docs.github.com/en/get-started/learning-about-github/githubs-products#github-pro) |
300300
| ![developer-program-member-dark](https://user-images.githubusercontent.com/65187002/173079579-3c393d22-7a13-4e7d-87b8-341fb613d52b.svg#gh-dark-mode-only)![developer-program-member-light](https://user-images.githubusercontent.com/65187002/173079614-33f43a97-1cc2-4228-85e3-ef43836e17c2.svg#gh-light-mode-only) | Developer Program Member | Uwe umejisajilisha na [GitHub Developer Program](https://docs.github.com/en/developers/overview/github-developer-program) |
@@ -314,7 +314,7 @@
314314

315315

316316

317-
#### Unaweza kupata habari zaidi kuhusu Beji za GitHub chini ya hii [link](https://docs.github.com/en/account-and-profile/setting-up-and-managing-your-github-profile/customizing-your-profile/personalizing-your-profile#displaying-badges-on-your-profile).
317+
#### Unaweza kupata habari zaidi kuhusu Mabeji ya GitHub chini ya [link](https://docs.github.com/en/account-and-profile/setting-up-and-managing-your-github-profile/customizing-your-profile/personalizing-your-profile#displaying-badges-on-your-profile) hii.
318318

319319

320320

0 commit comments

Comments
(0)